MiCROP Mboga Mboga
Benefits of Microp Mboga Mboga
-
Mbolea ya kukuzia mazao ya mbogamboga, matunda na mazao jamii ya mizizi kama Viazi
(15N + 9P205 + 20 K2O + 8.5S + 0.02B + 0.06Zn)%
• Ina virutubisho muhimu vyenye kukidhi uhitaji wa mazao ya mbogamboga
• Huchochea utengenezwaji ngozi nyororo ya kupendeza na ubora wa ndani hasa kwa matunda na mazao jamii ya viazi
• Inahakikisha utoaji endelevu wa nitrogen yenye uwezekano wa kutopotea haraka ardhini.
• Inakupa thamani ya pesa yako