Choose a location
You are currently at Yara Tanzania
Maize & Sorghum: Apply 1 litre/acre at the 4 to 8 leaf stage. Repeat 10 to 14 days later if necessary.Water rate: 200 l/acre. Mahindi na Mtama: Nyunyizia lita 1 kwa eka wakati mimea ikiwa na majani 4-8. Unaweza kurudia siku 10-14 baadaye kama kuna hitaji. Kiasi cha maji: Lita 200 kwa eka.
Rice: Apply 1 litre/acre at tillering and again at panicle initiation. Water rate: 200 l/acre. Mpunga: Nyunyizia lita 1 kwa eka mpunga unapoanza kupacha, na wakati wa kutunga mimba dume. Kiasi cha maji: Lita 200 kwa eka.
Sugarcane: Apply 1Litre/acre when cane is between 30 and 120 cm tall. Repeat applications may be necessary at 10 to 14-day intervals. Water rate: 200l/acre. Miwa: Nyunyizia lita 1 kwa eka wakati muwa ukiwa na urefu wa sentimeta 30 hadi 120. Rudia baada ya siku 10 hadi 14 kama kuna uhitaji. Kiasi cha maji: Lita 200 kwa eka.
Europe
Americas
Asia and Oceania
Africa