Maamuzi katika uchaguzi wa lishe ya mimea huchangia kwa kiasi kikubwa ustawi mzuri,wingi na ubora wa mavuno pia matokeo ya uzalishaji wa mazao kwenye mazingira.Tumia mbolea yenye kukusaidia kuyapa mazao yako lishe kamili na linganifu.
Mbolea bora kwa ajili ya kupandia mazao yote. (17N-29P-6K +7S+0.2Zn)%
Mbolea bora kukuzia mazao ya jamii ya nafaka kama vile mahindi,mpunga nk. na zao la miwa. (46N +0.2Zn)%
Ni mbolea ya mchanganyiko NPK iliyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu ili kutoa lishe kamili na linganifu kwa ongezeko la wingi na bora wa viazi na mazao ya bustani(mbogamboga na matunda).
Virutubisho vilivyomo: 15%N:9%P2O5:20%K2O+8.5%S+0.01%B+0.06%Zn.
Faida za MiCROP MBOGAMBOGA