YaraVita CROP BOOST
YaraVita CROP BOOST
(44% P2O5+7.5%K2O+6.6%MgO+4.6%Zn)
Mbolea inayotumika kunyunyizia kwenye majani na hutumika kwa mazao yote.
Mbolea ya kukuzia kwa mazao yote, inayotumika kunyunyizia kwenye majani yenye phosphorus nyingi inayotoa uwiano wa lishe muhimu inayoongezea mmea kujipatia chakula kingi toka ardhini kwa:
• Kuimarisha mizizi
• Kujazia punje vizuri
• Umbile zuri na imara la mmea
• Majani yenye rangi ya kijani