YaraAmplix SEEDLIFT
YaraAmplix SEEDLIFT
YaraAmplix seedLift ni chembechembe ndogo sana zinazohifadhi virutubisho vya mmea maalum kwa ajili ya kuchanganya na mbegu. Ina viambato vya kuchochea ufanisi wa mmea ili kuweza kukabiliana na ukame wa muda mrefu, joto kali and ukali wa kemikali zingine. Imeongezwa virutubisho vya msingi na muhimu kwa maandalizi ya awali ya ukuaji wa mmea.
Shayiri: Tumia lita 3 hadi 6 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Maharage: Tumia lita 8 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Pamba: Tumia lita 8 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Mahindi: Tumia lita 8 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Kitunguu: Tumia lita 15 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Viazi: Tumia mililita 800 kwa ekari ikiwa imechanganywa na maji lita 200, nyunyizia kwenye viazi shambani zilizolazwa kwenye mfereji tayari kwa kupandwa na funikia baada ya kunyunyizia.
Mpunga: Tumia lita 10 kwa kilo 1,000 za mbegu, Zingatia: Haishauriwi kuweka SeedLift wakati wa kuloweka mbegu. Mtama: Tumia lita 8 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Miwa: Tumia lita moja kwa heka, nyunyiza kwenye miwa iliyolazwa kwenye mfereji tayari wa kupandwa. kiasi cha maji: lita 30 hadi 200 kwa hekari.
Alizeti: Tumia lita 10 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Tomato: Tumia lita 10 hadi 15 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Ngano: Tumia lita 3 hadi 6 kwa kilo 1,000 za mbegu
Kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi: SeedLift huimarisha uwezo wa mmea kukabiliana na kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa kama vile ukame, joto kali na ongezeko la magonjwa kwa mmea.
Afya ya Udongo: Inaongeza uzalishaji wa viumbe hai wadogo wenye faida waliopo kwenye eneo la mizizi kwa uzalishaji endelevu wa mmea.
Ubora wa mzao: Inasaidia kuongeza ubora na wingi wa mzao ambao unapelekea ongezeko la kipato
Virutubisho vilivyomo
15%N,
26%P2O5,
17%CaO,
27.5%Zn,
7% Kaboni asilia na
viambato chochezi
Kiasi cha kutumia:
Shayiri: Tumia lita 3 hadi 6 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Maharage: Tumia lita 8 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Pamba: Tumia lita 8 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Mahindi: Tumia lita 8 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Kitunguu: Tumia lita 15 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Viazi: Tumia mililita 800 kwa ekari ikiwa imechanganywa na maji lita 200, nyunyizia kwenye viazi shambani zilizolazwa kwenye mfereji tayari kwa kupandwa na funikia baada ya kunyunyizia.
Mpunga: Tumia lita 10 kwa kilo 1,000 za mbegu, Zingatia: Haishauriwi kuweka SeedLift wakati wa kuloweka mbegu. Mtama: Tumia lita 8 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Miwa: Tumia lita moja kwa heka, nyunyiza kwenye miwa iliyolazwa kwenye mfereji tayari wa kupandwa. kiasi cha maji: lita 30 hadi 200 kwa hekari.
Alizeti: Tumia lita 10 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Tomato: Tumia lita 10 hadi 15 kwa kilo 1,000 za mbegu.
Ngano: Tumia lita 3 hadi 6 kwa kilo 1,000 za mbegu
Faida
Kuboresha ufanisi wa matumizi ya virutubisho kwa mmea: SeedLift inaboresha ufanisi wa kuchukuliwa kwa virutubisho kwenye udongo kwa kuimarisha mizizi na kuongeza uwezo wa mmea kunyonya virutubisho na maji kunakosababishwa na maandalizi mazuri ya awali ya ukuaji wa mmea.Kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi: SeedLift huimarisha uwezo wa mmea kukabiliana na kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa kama vile ukame, joto kali na ongezeko la magonjwa kwa mmea.
Afya ya Udongo: Inaongeza uzalishaji wa viumbe hai wadogo wenye faida waliopo kwenye eneo la mizizi kwa uzalishaji endelevu wa mmea.
Ubora wa mzao: Inasaidia kuongeza ubora na wingi wa mzao ambao unapelekea ongezeko la kipato
Uotaji wa mmea: Huongeza ufanisi wa uotaji wa mmea na kupata uwiano mzuri wa mimea shambani ambao hupelekea ongezeko la mazao